Thursday, December 06, 2007

WAMJUA SALMA HAYEK WEWE MPWA WA OSAMA?

Huyu ni muigizaji mzuri na maarufu sana wa kike aliyejichukulia umaarufu mkubwa sana huko Hoolywood.Salma alizaliwa tarehe 02 september 1966, Coatzacoalcos, Veracruz, Mexco. Sasa ana umri wa miaka 41, na jina lake kamili ni hilo hilo Salma Hayek Jimeneaz.Mwana dada huyu ameigiza movie nyingi sasa ambazo kiukweli mimi mwenyewe nazikubali, Movie za 2007 ni kama Ugly Betty na Across the Universe.Movie zake ambazo hadi sasa zinatarajiwa mwaka 2008 ni Keep Coming Back na South of the Border na pia kuna pre-production zake za 2009 inaitwa Banda,La.Pia kuna tetesi kuwa Salma ni mpwa wa Osama Bin Laden,lakini pia inadaiwa kuwa ajawahi kuonana uso kwa uso na mjomba ake huyo. Usikose mambokibao yanakuja kama kawaida.

1 comment:

Nardb said...

Ebwana is this really? huyu dada aombe Mungu Raisi atakayechaguliwa mwakani asiwe kama Bush maana anaweza kufungwa.

Keep it up man!