Watu wangu mambo vipi?Ile issue ya Pitt msikonde ntawapandishia muda si mrefu naomba mniwieradhi kuna mambo yamenibana lakini tupo pamoja kama kawa.Sorry sana mshikaji wangu nard, Halafu blog yako huwa naifungua Bro vipi mbona hupandishi vitu napenda sana kuwa naisoma.Pamoja!!
2 comments:
Dah ebwana naona kuna ma changes uefanya ya kufa mtu, inapendeza sana sasa hivi.
Blog ile siitumii tena sasa hivi natumia nardb.blogspot.com
icheki mzee inatisha sisemi mengi najua hautapima kabisa
Mambo vipi Mr. Blogger.
Ebwana tunasubiri usikonde tunajua mambo ya Christmas na Shemeji ndio vinakuchelewesha. lakini upo pamoja.
Post a Comment