Ebwana issue zinakwendaje? Habari za muda kidogo. Mambo yamebana kidogo lakini muda si mrefu tutakuwa pamoja kama kawaida na mtaendelea kupata mambo mazuri.
Mambo vipi watu wangu? Katika kuendeleza na kukuza lugha yetu ya kiswahili karibuni sana katika blog hii ambayo itakuwa ikiwaletea habari za filamu (movie) pamoja na waigizaji mbalimbali kwa kiswahili, karibuni sana. Pamoja!