Friday, December 28, 2007

MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR!

Samahani sana watu wangu si mnajua mambo ya christmas,Lakini msikonde bado tupo pamoja kama kawaida.Nawatakia sikukuku njema japo nimechelewa kidogo lakini natumaini imekwenda fresh. Pia nawatakia heri ya mwaka mpya wa 2008 tumuombe Mungu atusaidie tufike salama, Amen. Kuhusu mambo yote niliyo waahidi yote yatakwenda kama yalivyopangwa tuombeane uzima.Pamoja na hayo kuna kitu tofauti sana cha ukweli najua wote mtafurahi kama mnavyoenjoy hii bonyeza hapa. Pamoja Tchaooo.

1 comment:

Nardb said...

Vipi mtu wangu mambo yanasemaje huko Singapore, Mneli anasemaje? Mpe hi sana. Hebu cheki hii link hapa

http://en.wikipedia.org/wiki/Brad_Pitt