Wednesday, December 05, 2007
UNAMJUA MGUMU AMBAYE NI MCHESHI SANA?
Najua utakuwa unajiuliza maswali mengi sana kichwani mwako huyo ni nani haswa? Basi kama kawaida mtu wangu hapa ndo umefika. Jamaa ni boge la actor(muigizaji) ambaye ukiangalia movie zake za comedy(ucheshi) hautaacha kufurahi mwanzo mpaka mwisho na ikibidi waweza rudia tena kuangalia.Anajulikana kwa jina maarufu kama ICE CUBE pia ana majina mengine kama Westside Connection,N.W.A, Mshikaji amezaliwa tarehe 15 June 1969,Los Angeles,California,USA.Ice Cube pia ni rapper mkali sana toka miaka mingi jamaa amekuwa akifanya HipHop. Pia Ice ni mwandishi wa mashairi na mwongozaji wa filamu.Jina la kuzaliwa la Ice Cube ni O'Shea jackson.Ana movie nyingi sana lakini movie yake inayozungumziwa ni Are We Done Yet? amboyo ni ya mwaka huu 2007.Endelea kucheki na hii tovuti utazidi kupata vitu vingi vya Ice Cube na mastar wengine kibao.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comment:
Huyu Mshikaji mi namuoshea sana ni mtu ambaye anajua kubadilika kutokana na muvi anayo act. kwa mfano kama ulivyosema kwenye muvi ulizotaja jamaa ni mcheshi kweli pamoja na Friday, Next Friday na Friday after Next zote ni comedy za kufa mtu, lakini jamaa mara akabadilika kwenye Triple X (State of union) Part II. Jamaa yuko serious ajabu kama hujaiona itafute au ukija utaicheki ni noma
Post a Comment